Ibada Lyrics ibada_lyrics Mungu twaomba bariki Kenya

Mungu twaomba bariki Kenya

Lyrics Of The Song Mungu twaomba bariki Kenya

Song ID 2815

Mungu bariki kenya takasa iponye irehemu nchi kenya kama vile milima izungukavyo yerusalemu izunguke izingire kenya ikumbatie Mungu twaomba Mungu ibariki kenya takasa iponye irehemu nchi kenya kama vile milima izungukavyo yerusalemu izunguke izingire kenya ikumbatie ulisema iwapo watu wangu walioitwa kwa jina langu watanyenyekea na kuomba watafute uso wangu waachane na njia zao mbovu nitawasikiaa tawasamehe dhambi nchi yao ntaiponya Mungu twaomba Mungu ibariki kenya takasa iponye irehemu nchi kenya kama vile milima izungukavyo yerusalemu izunguke izingire kenya ikumbatie sikia vilio vya wajane futa machozi futa machozi ya yatima maskini na wasiojiweza ondoa baa la njaa jangwa tuepushe Bwana tutee ee boresha uchumi wa nchi baba tuinue Mungu ibariki kenya takasa iponye irehemu nchi kenya kama vile milima izungukavyo yerusalemu izunguke izingire kenya ikumbatie kenya ni yako baba hatuwezi bila wewe Mungu wetu wewe ni tumaini letu kenya imebarikiwa limebarikiwa taifa Mungu wao ni Mungu halitatikiswa kamwe wima litasimama limebarikiwa taifa Mungu wao ni Mungu halitatikiswa kamwe limebarikiwa taifa Mungu wao ni Mungu halitatikiswa kamwe

Mungu twaomba bariki Kenya.mp3

Mungu twaomba bariki Kenya.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post