Ibada Lyrics ibada_lyrics TOSHEKA lyrics by M.O.G

TOSHEKA lyrics by M.O.G

Lyrics Of The Song TOSHEKA lyrics by M.O.G

Song ID 2806

una nyumba nzuri una bibi mzuri mbona uko nje una randa una watoto wazuri una Bwana mzuri mbona uko nje una randa kitu kizuri Bwana wewe kamata wacha tamaa ya fisi wewe ridhika kitu kizuri dada wewe kamata wacha tamaa ya fisi wewe ridhika kila mtu anatamani pesa na mali ya kutesa naomba Mungu mi nitosheke nisizidiwe na mawazo hiyo kidogo hiyo kidogo tosheka nacho hiyo kidogo hiyo kidogo ridhika nayo hiyo kidogo hiyo kidogo tosheka nacho hiyo kidogo hiyo kidogo shukuru nayo oooh una mali na mali ni ya nini ninaipata na sidhiriki nilikosa sina amani yeeeeeah na afya ninayo nzuri na kazi nzuri maisha mazuri sijui mbona siridhiki oooh nikipata hiyo ninataka ile ninataka ingine nikipata hiyo ninataka ile nikipata ile ninataka ingine nataka kuridhika Yesu nisadie wewe nataka kuridhika baba niridhishe wewe nataka kuridhika Yesu nisadie wewe nataka kuridhika baba niridhishe wewe toshe toshe toshe tosheka moyo wangu tosheka toshe toshe toshe tosheka Mungu baba niridhishe repeat nikipata hiyo ninataka ile ninataka ingine nikipata hiyo ninataka ile nikipata ile ninataka ingine

TOSHEKA lyrics by M.O.G.mp3

TOSHEKA lyrics by M.O.G.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post