Ibada Lyrics ibada_lyrics Amewazidi wote

Amewazidi wote

Lyrics Of The Song Amewazidi wote

Song ID 296

maneno yao umeyasikia maneno yao umeyasikia maneno yao umeyasikia eti wanasema hivi nilivyo si hazi yako eti wanasema kukupata wewe mimi sio hazi yako eti wanasema mimi nilivyo elimu yangu ndogo maneno yao umeyasikia maneno yao eti wanasema mimi si fanani kuwa na nyumba hiyo eti wanasema mimi nilivyo si hazi yako hawajui tulianzia wapi hawajui hawajui kuna siri gani hawajui wanavyo tazama majumba hayo hawajui hawajui mchango wangu kwako hawajui wanavyo kutazama unavyo pendeza hawajui hawajui hekima yangu kwako hawajui hawajui ushauri wangu umekufikisha hapo maneno yao nimeyasikia maneno yao hawajui busara zangu zimekupa uonekane hawajui maombi yangu ndiyo yana kubeba hawajui nafasi yangu kwako hawajui hawajui busara yangu kwako hawajui hawajui ninavyo kuombea hawajui wananitazama wanani hukumu ila hawajui wanasema sifanani nawe wanasema hawajui maombi ninavyo omba yanakupa cheo wanasema maneno yao wanasema wanasema maneno yao wanasema siku zote tabasamu rangu ni faraja kwako ila wanasema hawajui wao wanasema maneno mazuri ninayo tamka ukienda kazini ndio maana cheo kinapanda ndiyo maana ndio maana ofisini una heshima ndiyo maana ndio maana unapata nafasi nzuri ndiyo maana ndio maana biashara zinakwenda ndiyo maana ni Mungu ooh ni Mungu ooh nin Mungu ushauri wangu kwa wanandoa wote siku zote ushauri wangu kwa wanaume wote siku zote neno hili lisitoke kinywami mwenu neno hili neno hili lisitoke kinywami mwenu neno hili binti zao wengi wamefanya mema lakini mke wangu amewazidi wote mabinti wao wamefanya mema ila huyu peke yake amewazidi wote nimewaona warembo wengi lakini yeye amewazidi wote nimewaona warembo wengi lakini yeye mke wangu amewazidi wote katika mabinti niliowaona yeye peke yake amewazidi wote nimewaona warembo wengi lakini yeye aliwazidi wote katikati ya wasomi wengi yeye peke yake amewazidi wote hata nilipotembelea vyuo vyote yeye peke yake aliwazidi wote nilipotembelea vijiji vyote yeye mke wangu aliwazidi wote ndoa ina siri kubwa ndoa ina ndoa ina siri kubwa ndoa ina ndoa ina siri kubwa ndoa ina ndoa ina siri kubwa ndoa ina moyo una siri kubwa moyo una moyo una siri kubwa moyo una moyo una siri kubwa moyo una moyo una siri kubwa moyo una

Amewazidi wote.mp3

Amewazidi wote.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post