Kunapendeza

Lyrics Of The Song Kunapendeza

Song ID 2207

kunapendeza kuingia kwake Bwana nyumba yake Bwana inapendeza x2 sop bass inapendeza alto ten kweli sop bass inapendeza alto ten sana inapendeza infurahisha moyo nyumba ya Bwana inapendeza x2 kuna furaha kuingia kwake Bwana nyumba yake Bwana ina furaha x2 sop bass ina furaha alto ten kweli sop bass inafuraha alto ten kubwa ina furaha ni furaha ya mbinguni nyumba ya Bwana ina furaha x2 kuna baraka kuabudu kwake Bwana nyumba yake Bwana ina baraka x2 sop bass ina baraka alto ten kweli sop bass ina baraka alto ten nyingi ina baraka inayo baraka tele nyumba ya Bwana ina baraka x2 kuna chakula kutulia kwake Bwana nyumba yake Bwana ina chakula x2 sop bass ina chakula alto ten kweli sop bass ina chakula alto ten kingi ina chakula chakula cha roho zetu nyumba ya Bwana ina chakula x2 kuna uzima kusujudu kwake Bwana nyumba yake Bwana ina uzima x2 sop bass ina uzima alto ten kweli sop bass ina uzima alto ten tele ina uzima ni uzima wa milele nyumba ya Bwana ina uzima x2

Kunapendeza.mp3

Kunapendeza.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Related Post