Ibada Lyrics ibada_lyrics Nitamwimbia Bwana

Nitamwimbia Bwana

Lyrics Of The Song Nitamwimbia Bwana

Song ID 3519

nitamwimbia Bwana Mungu wa uzima siku zote na milele Mungu wa uzima x2 Bwana Bwana asante sana ee Bwana kwa wema wako asante sana ee Bwana x2 nafurahi sana Mungu wangu umenitendea makuu moyo wangu pia na mwili wangu vyote vyakushangilia watu wote pia wa dunia wote waimba sifa zako wamalaika na watakatifu wote wakuabudu Bwana sop alto Bwana ni mwenye nguvu mwema na uwezo wote Bwana amejaa huruma Bwana ni mwema sana bass ndege miti wanyama wanadamu wote tumsifu tumsifu tumsifu sop alto wote tumwimbieni Bwana tumpigieni asante wababa na wamama wote tumpigieni asante wadada na wakaka wote tumpigieni asante rafiki na jirani wote tumpigieni asante wadada wa msola wote tumpigieni asante bass tumpigie tumpigie Bwana Bwana x4 wote tumwimbie Bwana tumwimbie Bwana tumpigie Bwana tumpigie asante asante

Nitamwimbia Bwana.mp3

Nitamwimbia Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post