Ibada Lyrics ibada_lyrics Ninakushukuru

Ninakushukuru

Lyrics Of The Song Ninakushukuru

Song ID 2553

ninakushukuru Mungu wangu x2 furaha yangu haina kipimo ninakutukuza Mungu wangu x2 tumwimbie Mungu wetu kwa furaha tumwimbie vigelegele tumpigie kwa furaha tumwimbie ewe baba hakuna mwingine kama wewe x2 Bwana ndiye mchungaji wangu kwa furaha tumwimbie sitapungukiwa na kitu kwa furaha tumwimbie ewe baba hakuna mwingine kama wewe x2 yeye ndiye chakula changu kwa furaha tumwimbie yeye ndiye kinywaji changu kwa furaha tumwimbie ewe baba hakuna mwingine kama wewe x2 wema wa Bwana nimeuona kwa furaha tumwimbie fadhili zake tumeziona kwa furaha tumwimbie ewe baba hakuna mwingine kama wewe x2 drums atukuzwe Mungu baba atukuzwe Mungu mwana naye roho mtakatifu ewe baba hakuna mwingine kama wewe x2

Ninakushukuru.mp3

Ninakushukuru.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post