Ibada Lyrics ibada_lyrics Nilikuwa Kondoo Aliyepotea

Nilikuwa Kondoo Aliyepotea

Lyrics Of The Song Nilikuwa Kondoo Aliyepotea

Song ID 3840

nilikuwa kondoo aliyepotea sikupenda zizi kamwe ila kutembea nilikuwa mwana asiyesikia sikupenda baba yangu wala kutulia na mchunga mwema alinitafuta baba kwa mapenzi ndiye aliyenivuta karibu ya kufa kwa kiu na kwa njaa waliniona mnyonge waliniokoa Yesu ni mchunga mwenziwe hapana aliosha taka zangu dhambi nyingi sana kwa vidonda vyangu alitia dawa ndiye aliyenipata na kwake nalindwa nilikuwa kondoo aliyepotea sasa nampenda baba na mchunga pia kwanza nilitanga na kukosa sana hivi nyumbani mwa baba sipotei tena

Nilikuwa Kondoo Aliyepotea.mp3

Nilikuwa Kondoo Aliyepotea.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Related Post