Ibada Lyrics ibada_lyrics Mkono wa Bwana

Mkono wa Bwana

Lyrics Of The Song Mkono wa Bwana

Song ID 1452

oh wu wu wu wu wu wu la la la la la la la umeomba sana ah umehaNgaika sana umengoja sana ila majibu uoni nyuma mbele kwa marafiki utoshi usife moyo Mungu hayuko busy ana mpango mwema juu yako x2 hakika mkono wa Bwana si mfupi wala sikio lake sio nzito kusikia mkono wa Bwana si mfupi wala sikio lake si nzito kusikia ahadi zake ni kweli njia zake sio kama mwanadamu akili zake ziko juu hatufikii sisi wanadamu tulia tulia na baba tusife moyo Mungu hayuko busy anampango mwema juu yetu x2 hakika mkono wa Bwana si mfupi wala sikio lake si nzito kusikia mkono wa Bwana si mfupi wala sikio lake si nzito kusikia halleluyah ni mwaminifu hakika mkono wa Bwana si mfupi wala sikio lake sio nzito kusikia mkono wa Bwana si mfupi wala sikio lake si nzito kusikia mkono wa Bwana si mfupi wala sikio lake si nzito kusikia mercy masika mkono wa Bwana

Mkono wa Bwana.mp3

Mkono wa Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post