Ibada Lyrics ibada_lyrics MKONO WA Bwana lyrics by Mercy Masika

MKONO WA Bwana lyrics by Mercy Masika

Lyrics Of The Song MKONO WA Bwana lyrics by Mercy Masika

Song ID 1193

umeomba sana ah umehaNgaika sana umengoja sana ila majibu uoni nyuma mbele kwa marafiki utoshi usife moyo Mungu hayuko busy ana mpango mwema juu yako x2 hakika mkono wa Bwana si mfupi wala sikio lake sio nzito kusikia mkono wa Bwana si mfupi wala sikio lake si nzito kusikia ahadi zake ni kweli njia zake sio kama mwanadamu akili zake ziko juu hatufikii sisi wanadamu tulia tulia na baba tusife moyo Mungu hayuko busy anampango mwema juu yetu x2 hakika mkono wa Bwana si mfupi wala sikio lake si nzito kusikia mkono wa Bwana si mfupi wala sikio lake si nzito kusikia halleluyah ni mwaminifu hakika mkono wa Bwana si mfupi wala sikio lake sio nzito kusikia mkono wa Bwana si mfupi wala sikio lake si nzito kusikia mkono wa Bwana si mfupi wala sikio lake si nzito kusikia

MKONO WA Bwana lyrics by Mercy Masika.mp3

MKONO WA Bwana lyrics by Mercy Masika.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post