Ibada Lyrics ibada_lyrics Nishike Mkono Bwana

Nishike Mkono Bwana

Lyrics Of The Song Nishike Mkono Bwana

Song ID 1294

nishike mkono Bwana nishike mkono nishike mkono Bwana nishike mkono mimi na wewe Bwana mimi na wewe mimi na wewe Bwana mimi na wewe twende pamoja Bwana twende pamoja twende pamoja Bwana twende pamoja siwezi bila wewe siwezi Bwana siwezi bila wewe siwezi Bwana uniinue Bwana uniinue uniinue Bwana uniinue

Nishike Mkono Bwana.mp3

Nishike Mkono Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post