Lyrics Of The Song Uniongoze – Baraka zako ziwe na mimi Bila nguvu zako
Song ID 2168
uniongoze na huruma zako usipo nibariki siwezi enda minajuwa bila nguvu zako siwezi kuenda minajuwa bila nguvu zako siwezi kwenda kwa mkono wako kweli umenibariki ii kwa mkono wako kweli umenibariki minajuwa bila nguvu zako siwezi kuenda kwa mkono wako kweli umenibariki ii kwa mkkono wako kweli umenibariki baraka zako ziwe na mimi mapenzi yako yawe na mimi namacho yako yawe na mimi kwa mkono wako kweli umenibariki kwa mkono wako kweli umenibariki ulinichagua kabla sijazaliwa ukanichagua nabii wa mataifa yo utaninitangulia siatogopa chochote tembea nami ee Bwana tembea nami baba yoo
Uniongoze – Baraka zako ziwe na mimi Bila nguvu zako.mp3
Uniongoze – Baraka zako ziwe na mimi Bila nguvu zako.video.mp4 YouTube
Hits: 36