Lyrics Of The Song Bwana Yesu Nainua macho yangu nitazame Milimani
Song ID 1035
nainua macho yangu nitazame milimani msaada wangu watoka wapi bali ni watoka kwako Yesu Yesu wangu umeniponya roho yangu wewe kweli ni wa ajabu na mimi nitakushukuru x2 nainua macho yangu nitazame marafiki usaidizi wangu watoka wapi bali ni watoka kwako Yesu nainua macho yangu nitazame familia yangu uponyaji wangu watoka wapi bali ni watoka kwako Yesu nainua macho yangu nitazame ninaowajua amani yangu yatoka wapi bali ni yatoka kwako Yesu
Bwana Yesu Nainua macho yangu nitazame Milimani.mp3
Bwana Yesu Nainua macho yangu nitazame Milimani.video.mp4 YouTube
Hits: 3