Ibada Lyrics ibada_lyrics Nitainua Macho Yangu

Nitainua Macho Yangu

Lyrics Of The Song Nitainua Macho Yangu

Song ID 3551

nitainua macho yangu nitazame milimani msaada yangu watoka wapi ninajua ni kwake Bwana nitainua macho yangu nitazame milimani msaada yangu watoka wapi ninajua ni kwake Bwana anilindaye halali ninajua hasinzii nitokapo niingiapo kweli najua ninajua yuko nami yeye ni Bwana wa maBwana yeye mfalme wa wafalme mshauri wa ajabu kimbilio maishani psalms 121 zaburi 121

Nitainua Macho Yangu.mp3

Nitainua Macho Yangu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post