Ibada Lyrics ibada_lyrics Msaada Wangu – Zaburi

Msaada Wangu – Zaburi

Lyrics Of The Song Msaada Wangu – Zaburi

Song ID 1760

nitayainua macho yangu milimani msaada wangu watoka wapi msaada wangu kwako Bwana nakuinulia macho yangu wewe uketiye juu sana kama macho ya watumishi wa mkono wa Bwana zao nilitewe nuru yako kweli azidi kuniongoza zinifikishe kwenye mlima maskani yako takatifu Bwana ndiye mlinzi wangu uvuli wa mkono wake jua halinipigi mchana wala mwezi usiku anilinda na mabaya atalinda nafsi yangu nitokapo na niingiapo tangu sasa na milele nitayainua macho yangu milimani msaada wangu watoka wapi msaada wangu kwako Bwana sheria yako ni kamilifu huiburudisha nafsi yangu ushuhuda wako ni amini hunitia hekima maagizo yako ni adili hufurahisha nafsi yangu amri yako ni safi sana huyatia macho huru kilicho chako ni kitakatifu kinadumu milele hukumu zako ni za kweli zina haki kabisa kuliko wengi wa dhahabu hukumu zako zatamanika kuliko sega za asali hukumu zako tamu kweli bass nitayainua macho yangu milimani wewe u msaada wangu wa karibu

Msaada Wangu – Zaburi.mp3

Msaada Wangu – Zaburi.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post