Ibada Lyrics ibada_lyrics Panguza macho ili uone mbele

Panguza macho ili uone mbele

Lyrics Of The Song Panguza macho ili uone mbele

Song ID 3216

walikusema walikucheka lakini kesho mambo itakuwa shwari mambo itakuwa shwari na wewe panguza macho panguza macho panguza macho ili uone mbele utacheka tena panguza macho panguza macho panguza macho ili uone mbele utacheka tena wale wale watu ulikula nao ulicheka nao ata kutembea ulienda nao unaona onaonana nao wako wapi walikuacha ukizubaa walikuacha ukilia hao walikuacha ukiwa down panguza machozi usilie kumbuka sarah alipata mtoto baada ya kuvumilia kesho itakuwa vyema na wewe shamba ni yako wanakupeleka kortini ufanye nini gari umenunua sura baya wakapita nayo wakutakia nini ata huko kazini moto umewaka wanataka nini ulidhani umepata lazizi kumbe ilikuwa bure akutesea nini unaonaonaonana nao wako wapi walikuacha ukizubaa wako wapi walikuacha ukilia hao walikuacha ukiwa down they left you while u where stressed eeh panguza machozi usilie safari bado kilio kinaweza kuwa usiku furaha inakuja asubuhi wewe utacheka tena baba baba baba baba x2 anaweza baba wa mbinguni baba wangu mie anaweza walikupa kisongo wakaenda kesho watakupa saluti Mungu wetu hana ubaguzi anakuona

Panguza macho ili uone mbele.mp3

Panguza macho ili uone mbele.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post