KESHO YANGU

Lyrics Of The Song KESHO YANGU

Song ID 3438

usione sijafanikiwa ukadhani nitabaki hivyo kwani kesho yangu ni Mungu anajua leo naweza kuwa chini sidhaminiwi naweza kuwa sina kitu hata cha kukufaa lakini kesho yangu ni Mungu anajua eeh leo hata sina nyumba ninapangisha hata mali leo sina naomba omba lakini kesho yangu ni Mungu anjajua eeh naweza kuwa sina gari wanipigia vumbi hata mavazi leo sina ni matambara lakini kesho yangu ni Mungu anajua eeh usionione jirani eeh usinichukie eeh usinidharau jirani eti kwamba ni mnyonge maana kesho yangu ni Mungu anajua eeh usinipime kwa leo maana ninakesho usinione kwa leo nina kesho usiniweke kwa mizani maana nina kesho iyo kesho yangu ni Mungu anajua eeh

KESHO YANGU.mp3

KESHO YANGU.video.mp4 YouTube

 

Hits: 14

Leave a Reply

Related Post