Ibada Lyrics ibada_lyrics Ahadi za Bwana Yesu zitatimia

Ahadi za Bwana Yesu zitatimia

Lyrics Of The Song Ahadi za Bwana Yesu zitatimia

Song ID 2607

ndugu yangu Mungu aliyekupa ahadi yeye ni mwaminifu mara nyingi unaeza ona ni kana kwamba amesahau lakini Mungu hajasahau subiri Bwana atatenda ahadi za Bwana ahadi za Bwana Yesu zitatimia aah ahadi za Bwana ahadi za Bwana Yesu zitatimia aah usikate tamaa usifadhaike mpendwa maana Mungu ni mwaminifu atatimza ahadi za Bwana ahadi za Bwana Yesu zitatimia aah ahadi za Bwana ahadi za Bwana Yesu zitatimia aah usilie ndugu usiangalie nyuma maana Mungu yu pamoja nawe anatimza

Ahadi za Bwana Yesu zitatimia.mp3

Ahadi za Bwana Yesu zitatimia.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post