Ibada Lyrics ibada_lyrics Wa Ajabu wewe wa ajabu

Wa Ajabu wewe wa ajabu

Lyrics Of The Song Wa Ajabu wewe wa ajabu

Song ID 958

ewe Mungu wa miungu umetukuka muumbaji wa vyote duniani na mbingu tunaa kuinamiya x2 wa ajabu wewe wa ajabu mfalme wa wafalme mwenye enzi tunakuabudu utukufu na heshima kwako eeh we Mungu pia nguvu na shukrani kwako ewe Mungu mtakatifu mwaminifu tunakuinamia el shaddai adonai alfa na omega x2 wa ajabu wewe wa ajabu mfalme wa wafalme mwenye enzi tunakuabudu

Wa Ajabu wewe wa ajabu.mp3

Wa Ajabu wewe wa ajabu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post