Ibada Lyrics ibada_lyrics Kale Nilitembea – Usifiwe Msalaba

Kale Nilitembea – Usifiwe Msalaba

Lyrics Of The Song Kale Nilitembea – Usifiwe Msalaba

Song ID 3582

kale nilitembea nikilemewa dhambi nilikosa msaada kuniponya mateso usifiwe msalaba lisifiwe kaburi linalozidi yote asifiwe mwokozi hata nilipofika mahali pa msalaba palinifaa sana sitasahau kamwe hicho ndicho chanzo cha kufurahi kwangu hapo ndipo mzigo uliponituliwa panapo msalaba kinatolewa cheti cha kuingia mbinguni kisicho cha kanisa usifiwe msalaba lisifiwe kaburi linalozidi yote asifiwe mwokozi yule Bwana mjinga likwenda bila cheti kitumai kwingia kama walio nacho lipofika langoni akaulizwa cheti cha kumwonyesha Bwana akakutwa hanacho lituhuzunishalo ni ninyi msio nacho kuwa kama mjinga kwa siku ya arusi ubavuni mwa Yesu mlitokea damu chemchemi ya uzima itakasayo roho jitahidi wingie damuni mwa mwokozi utafutiwa dhambi toka rohoni mwako

Kale Nilitembea – Usifiwe Msalaba.mp3

Kale Nilitembea – Usifiwe Msalaba.video.mp4 YouTube

 

Hits: 9

Leave a Reply

Related Post