Ibada Lyrics ibada_lyrics Nguvu Ya Msalaba

Nguvu Ya Msalaba

Lyrics Of The Song Nguvu Ya Msalaba

Song ID 146

nguvu ya msalaba imeniweka dhabihu hiyo Mungu mwenyewe alitoa sababu anijali nguvu ya msalaba nimeoshwa nimetakaswa damu ya Yesu imeniokoa gharama yangu Yesu amelipa kwa mapigo yake mimi nimepona nimeokolewa nimekombolewa kwa damu yako mi ni salama sina wasiwasi wala huzuni ndani yako ni salama nina sababu ya kukupenda nina sababu kuwa ndani yako maisha yangu nayatoa kwako maisha yangu nayatoa kwako naishi nina haki natembea ni halali kama si Yesu singelikuwa hai asante Bwana kwa wokovu wasiwasi sina tena mimi nina hakika ya uhai ukiona mimi naimba imba ni nguvu msalaba ukiona nikitembea ni nguvu msalaba ukiona mimi siendi hepi tena ni nguvu msalaba ukiona nikisifu nakuimba ni nguvu msalaba nguvu ya msalaba nguvu ya msalaba imeniweka dhabihu hiyo Mungu mwenyewe alitoa sababu anijali nguvu ya msalaba

Nguvu Ya Msalaba.mp3

Nguvu Ya Msalaba.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post