Ibada Lyrics ibada_lyrics Kazi Ya Msalaba

Kazi Ya Msalaba

Lyrics Of The Song Kazi Ya Msalaba

Song ID 1339

kazi ya msalaba baraka nimepokea kwako nimetulia mimi nisije tumbukia kwa mambo ya dunia kwako nijifiche milele fitina zanizingira anasa kila kona kwa mikono yako niweke mtakatifu tokeo leo hadi milele niwe radhi mimi kwa makosa yote anipenda anijali anipenda kazi ya msalaba nimepokea nimekubali nitakusifu nitakuimbia milele kazi ya msalaba nimepokea nimekubali nitakusifu nitakuimbia milele ilikuwa ni juzi tu mwanzo kwangu kutembea ukapumzisha kwangu kuongonjea lakini kwako zaidi nasogea nishiriki nawe kwa mazoea zile kwako ndo napokea nikuone kwangu baba ukinitendea wewe ndo wangu tu mimi na wewe tu nikuone kwangu ukinitendea wewe ndo wangu tu mimi na wewe tu nikuone kwangu ukinitendea siri ni Yesu siri nibaba siri ni ye siri ni yee siri ni Yesu siri ni Yesu kazi ya msalaba nimepokea nimekubali nitakusifu nitakuimbia milele

Kazi Ya Msalaba.mp3

Kazi Ya Msalaba.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post