Lyrics Of The Song Nitakusifu Milele
Song ID 630
nitakuimbia Mungu wangu kweli asubuhi mchana na usiku nitakuimbia Mungu wangu kwa shangwe vinanda ngoma nitavipiga vigelegele shangwe makofi nitakusifu milele yote nitakuhimidi Mungu wangu kweli nitakushukuru Mungu wangu kweli nitakuabudu Mungu wangu kweli nitaliinua jina lako kweli nitalitukuza jina lako kweli nitaliheshimu jina lako kweli nitalisifia jina lako kweli
Nitakusifu Milele.video.mp4 YouTube
Hits: 3