Ibada Lyrics ibada_lyrics Nitakusifu Yesu

Nitakusifu Yesu

Lyrics Of The Song Nitakusifu Yesu

Song ID 891

nimekupenda nimevutiwa na wewe sikia ninatamani niwe wako uwe wangu siku zote ndiwe chaguo la moyo wangu kwenye hii dunia ninatamani niwe wako uwe wangu siku zote nitakusifu bila aibu hadharani alto wewe nyimbo za shangwe hazitakauka kinyuani alto mwangu ingia mwangu Yesu wangu kaa nami siku zote nimewaona rafiki wengi wanaonivizia lakini wewe ndiwe rafiki wa kweli na udhia ulinipenda hata kama mi sijakusikia msalabani bila hatia Yesu ukanifia katika raha usikawie njo kunisalia na kwenye shida sitachelewa nitakukimbilia nitakusifu milele yote nitakuhimidia nitasiimba fadhili zako nitazisimulia

Nitakusifu Yesu.mp3

Nitakusifu Yesu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post