Ibada Lyrics ibada_lyrics Jina lako Yesu

Jina lako Yesu

Lyrics Of The Song Jina lako Yesu

Song ID 3254

jina lipitalo majina yote the name above all other names duniani na mbinguni on earth and in heaven tena lenye mamlaka yote with all the authority humu ulimwenguni here on earth limeinuliwa juu jina la Yesu x2 x2 jina lako Yesu your name Jesus x2 lina uweza aaa has might power x2 kila goti litapigwa every knee will bow kwa jina la Yesu in the name of Jesus na kila ulimi utakiri and every tongue will confess kwamba wewe ni Bwana that you are the Lord Yesu x Jesus ninakwita usiyeshindwa i call you the undefeated kifo na kaburi ulivishinda you defeated death and the grave nguvu zako ziko juu ya dunia yote your power is over all the earth umekirimiwa jina lenye uweza wote youve been branded with a name with all the might nguvu ni zako ufalme ni wako all power is yours the kingdom is yours mamlaka ni yako hata milele all authority belong to you forever katika wewe tunapata ushindi ushindi in you we are victorious

Jina lako Yesu.mp3

Jina lako Yesu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post