Ibada Lyrics ibada_lyrics Lihimidi Jina Lake

Lihimidi Jina Lake

Lyrics Of The Song Lihimidi Jina Lake

Song ID 1633

mashariki na magharibi haziwezi kutana hivyo ndivyo uliweka dhambi zangu mbali nami kwa kukomboa uhai wangu wanisamehe tena wanivisha taji ya upendo wako ooh nisemeje nikupe nini eeeh nafsi yangu mhimidi Bwana usisahau fadhili zake zote eeeh nafsi yangu mhimidi Bwana usisahau fadhili zake zote lihimidi jina lake jina lake jina lake takatifu lihimidi jina lake jina lake jina lake takatifu kweli baba wewe ni mwema uinuliwe kwa ajili ya neema na fadhili zako jina lako litukuzwe leo na milele maana haulinganiswi na yeyote baba nisemeje nikupe nini ila sifa upendo wako umenizunguka neema yako imenipandisha halleluya jina lako ni kuu amani na furaha umenipa halleluya jina lako ni kuu astahili sifa astahili utukufu takatifu uu baba

Lihimidi Jina Lake.mp3

Lihimidi Jina Lake.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post