Ibada Lyrics ibada_lyrics Nitalisifu Jina Lake

Nitalisifu Jina Lake

Lyrics Of The Song Nitalisifu Jina Lake

Song ID 3355

nitalisifu jina lake Mungu kwa wimbo wangu mimi nitamshukuru yeye siku zote kwa sababu Bwana ana nipenda daima amenipa uzima na amenibariki x2 watu wote njoni leo tuimbe kwa shangwe mbingu na dunia njooni tuimbe kwa shangwe njoni mbele zake Bwana tuimbe kwa shangwe tangazeni sifa zake Bwana atupenda hubirini pande zote lisifuni jina lake Bwana ametuokoa ametubariki ametupa vitu vyote ametulinda salama nguvu enzi na uwezo ni wake milele nguvu na utawala madaraka na ufalme

Nitalisifu Jina Lake.mp3

Nitalisifu Jina Lake.video.mp4 YouTube

 

Hits: 18

Leave a Reply

Related Post