Ibada Lyrics ibada_lyrics Niache Niimbe – siku moja

Niache Niimbe – siku moja

Lyrics Of The Song Niache Niimbe – siku moja

Song ID 3322

siku moja mama nitakujengea nyumba ya kifahari uishi poa mama na pesa za muziki siku moja baba nitakununulia gari la kifahari uendeshepoa baba na pesa za muziki siku moja dada nitakulipia karo ya shule uende university na pesa za muziki siku moja brother nitakufungulia biashara kubwa uwe sonko brother na pesa za muziki ikiwa ntakua rubani niendeshe ndege niwe rubani rubani anaimba na ikiwa ntakua karani karani wa benki niwe karani karani anaimba ikiwa ntakua waziri waziri wa serikali niwe waziri waziri anaimba oh popote niendapo chochote nifanyacho yeyote nitakuwa niwe naimba mama na baba naomba mniache niimbe niache niimbe niache niimbe niache niache niimbe shule nitaenda lakini niache niimbe niache niimbe niache niimbe niache niimbe kazi nitafanya lakini mniache niimbe niache niimbe niache niimbe niache niimbe mimi naahidi ntaimba nyimbo za injili niache niimbe niache niimbe niache niimbe Mungu ni mwaminifu Mungu ni mwaminifu Mungu ni mwaminifu Mungu ni mwaminifu hakuna anayeweza hajapewa kitu cha kufanya Mungu ni mwaminifu Mungu ni mwaminifu wengine wanauza nguo gikosh wenginewanashona ah wengine wamekonda wanakimbia mabouncer wameshona wengine maodijo polisi ma ceo ma m d ma h u s t l e r mahustler ikiwa ntakua rubani niendeshe ndege niwe rubani rubani anaimba na ikiwa ntakua karani karani wa benki niwe karani karani anaimba ikiwa ntakua waziri waziri wa serikali niwe waziri waziri anaimba oh popote niendapo chochote nifanyacho yeyote nitakuwa niwe naimba niache niimbe niache niimbe niache niache niimbe shule nitaenda lakini niache niimbe niache niimbe niache niimbe niache niimbe kazi nitafanya lakini mniache niimbe niache niimbe niache niimbe niache niimbe mimi naahidi ntaimba nyimbo za injili niache niimbe niache niimbe niache niimbe sitakuangusha mama sitakuangusha baba uniache niimbe uniache niimbe uniache niimbe uniache uniache niteremke mama teremke mama teremke mama eh uniache niimbe uniache niimbe uniache niimbe uniache oh sitakuangusha mama sitakuangusha baba uniache niimbe uniache niimbe uniache

Niache Niimbe – siku moja.mp3

Niache Niimbe – siku moja.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Related Post