Ibada Lyrics ibada_lyrics Heri Siku Moja

Heri Siku Moja

Lyrics Of The Song Heri Siku Moja

Song ID 266

ewe Mungu wa majeshi ninapenda kukaa nawe maskani zako zapendeza nazikondea kwa shauku kubwa heri siku moja mbele zako kuliko siku elfu mbali na wewe ee Bwana nguvu na msaada wangu nitakupenda daima moyo na mwili wangu Bwana viakulilia Mungu wangu heri nikose viote baba lakini nikupate wewe heri siku moja mbele zako kuliko siku elfu mbali na wewe ee Bwana nguvu na msaada wangu nitakupenda daima

Heri Siku Moja.mp3

Heri Siku Moja.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post