Ibada Lyrics ibada_lyrics Bwana apiga Hodi

Bwana apiga Hodi

Lyrics Of The Song Bwana apiga Hodi

Song ID 1840

Bwana apiga hodi umpokee x2 ule mwili wake unywe damu yake Bwana apiga hodi umpokee x2 chakula cha mbingu kinywaji cha mbingu Bwana apiga hodi umpokee x2 songea ukale jongea ukanywe ni mgeni hakika kutoka mbinguni anakuja kwako aleta uzima atakushibisha utaburudika ataishi nawe milele yote

Bwana apiga Hodi.mp3

Bwana apiga Hodi.video.mp4 YouTube

 

Hits: 10

Leave a Reply

Related Post