Hodi Hodi

Lyrics Of The Song Hodi Hodi

Song ID 453

sop hodi hodi nyumbani mwako Bwana all ninabisha nifungulie sop nimekuja nyumbani mwako leo all nimekuja kukuabudu sop kwa unyenyekevu na ijongea all meza yako yenye baraka sop nakuja na sala zangu ee Bwana all nakuomba zisikilize sop ninakutolea sadaka zangu all Mungu baba uzipokee nyua za Bwana zapendeza zinapendeza macho kama nini natamani kuingia hekaluni all nikamwabudu x2 nimeingia hekaluni nimeingia hekaluni mwako nimekuja kuabudu kusujudu all nyumbani mwako x2 unipokee Mungu baba unitakase mimi mwenye dhambi nimekuja mbele zako Mungu baba all unipokee x2

Hodi Hodi.mp3

Hodi Hodi.video.mp4 YouTube

 

Hits: 20

Leave a Reply

Related Post