Eloi Eloi

Lyrics Of The Song Eloi Eloi

Song ID 3757

all my life sijaona mwaminifu akikosa mkate all my life sijaona mwaminifu akikosa mkate hai nimechoka na vicheko hai nimechoka na dharau sitojali hata jirani akipata kuniliko baba niokoe baba nishikilie baba nisaidie baba nakuhitaji ni wako ni wako nakwitaji ii ni wako ni wako usiniache eloi elohi lamasabakitani eloi elohi lamasabakitani najiuliza kwa nini wateule twapitia majanga leo hii ni mimi kesho ni yule ninaomba bila kuchoka situation bado ni same eloooi lamasabakitani nakungojea baba sema nami niko hapa sema nami sibanduki kamwe uooh usiniache baba aah usiniach nanaa nanaah ni wako ni wako nakwitaji ii ni wako ni wako usiniache eloi elohi lamasabakitani eloi elohi lamasabakitani unikumbuke baba usiniwache mimi wako baba ninaomba eloi eloi

Eloi Eloi.mp3

Eloi Eloi.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post