Ibada Lyrics ibada_lyrics Mifupa Mikavu – Nakutabiria

Mifupa Mikavu – Nakutabiria

Lyrics Of The Song Mifupa Mikavu – Nakutabiria

Song ID 2061

ezekieli akiwa katika roho Bwana akamweka chini katika bonde nalo limejaa mifupa kamwambia ezekieli je mifupa yaweza kuishi naye akajibu eeh Bwana wajua wewe Bwana akamwambia tabiri ju ya mifupa hii enyi mifupa lisikie neno la Bwana mifupa mikavu nakutabiria ee ee eh kwa jina la Yesu uwe hai tena aah mifupa mikavu nakutabiria ee ee eh kwa jina la Yesu uwe hai tena aah tabiri kwa uwepo na mwili roho wa Mungu aiweke dhahiri kwa wanadamu walio na kwa Mungu aliye na jeshi moja shupavu kuna wengi wetu tunapambana ngangana maisha yetu ngumu zaidi ya janga missing line position yetu in christ more than victorious healthy wealthy and righteous maindiko inasema sisi waridhi wa ufalme hautakufa utaishi na kusimulia wema wa Bwana natabiri ju afya yako natabiri ju ya kazi yako vilivyo kufa viwe hai viwe hai tena natabiria ndoa yako natabiria watoto wako vilivyo kufa viwe hai viwe hai tena hautakufa utaishi na usimulie mema ya Bwana vilivyo kufa viwe hai viwe hai tena mifupa mikavu nakutabiria ee ee eh kwa jina la Yesu uwe hai tena aah mifupa mikavu nakutabiria ee ee eh kwa jina la Yesu uwe hai tena aah mifupa mikavu nakutabiria afrika kwa jina la Yesu uwe hai tena aah mifupa mikavu nakutabiria tanzania kwa jina la Yesu uwe hai tena aah

Mifupa Mikavu – Nakutabiria.mp3

Mifupa Mikavu – Nakutabiria.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post