Ibada Lyrics ibada_lyrics Mifupa mikavu

Mifupa mikavu

Lyrics Of The Song Mifupa mikavu

Song ID 1642

ezekieli akiwa katika roho ezekiel when in a vision Bwana akamweka chini God placed him down katika bonde nalo limejaa mifupa in a valley full of bones kamwambia ezekieli je mifupa yaweza kuishi he asked ezekiel is it possible for the bones to live naye akajibu ee Bwana waijua wewe and he replied oh Lord you know Bwana akamwambia tabiri juu ya mifupa hii the Lord told him prophesy over these bones enyi mifupa lisike neno la Bwana you bones listen to the word of the Lord mifupa mikavu nakutabiria dry bones i prophesy to you kwa jina le Yesu uwe hai tena in the name of Jesus to become flesh repeat tabiri kwa upepo na mwili prophesy in the spirit and in the flesh roho wa Mungu aiweke dhahiri the spirit of the Lord to make clear kwa wanadamu waliona jikavu for as humans who only saw dry bones kwa Mungu aliona jeshi moja shupavu God saw a mighty army kuna wengi wetu tunapambana there are many of us who struggle nganga na maisha yetu ngumu zaidi ya janga we wrestle with our tough lives but hiyo ni tu ni rudisha but all that is it will be restored position yetu in christ more than victorius our position in christ help thee wealth thee and righteous maandiko imesema si waridhi wa mfalme the scripture says we are inheriters of the kingdom hautakufa utaishi na kusimulia wema wa Bwana you will not die but live and tell of the Lords goodness natabiri juu ya afya yako i prophesy over your health natabiri juu ya kazi yako i prophesy over your work vilivyo kufa viwe hai viwe hai tena whatever was dead to live to be live again natabiri juu ya ndoa yako i prophesy over your marriage natabiri juu ya watoto wako i prophesy over your children vilivyo kufa viwe hai viwe hai tena whatever was dead to live to be live again hautakufa utaishi na kusimulia mema wa Bwana you will not die but live and tell of the Lords goodness vilivyo kufa viwe hai viwe hai tena whatever was dead to live to be live again

Mifupa mikavu.mp3

Mifupa mikavu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post