Narudisha

Lyrics Of The Song Narudisha

Song ID 1355

abudiwa Bwana tukuka Bwana heshimika Bwana tukuka milele wewe ni Mungu hakuna kama wewe Bwana unayotenda hakuna mwingine awezaye tenda unarudishia watu miaka yao waliopoteza unarudishia watu miaka yao iliyoliwa na nzige ulimrudishia ayubu miaka yote aliopoteza mali yake watoto wote Bwana ulirudisha tena mara dufu Bwana ulirudisha nami najua nitarudishiwa miaka yangu nitarudishiwa iliyoliwa na nzige nitarudisha eeeeieee miaka yangu iliyoliwa na nzige narudisha narudisha miaka yangu iliyoliwa na nzige narudisha kwa jina la Yesu miaka yangu iliyoliwa na nzige narudisha kwa jina la Yesu nzige wamekula amani ya wengi nzige wameharibu afya ya wengi mno angalia imebaki mifupa mikavu tazama imebaki mifupa mikavu lakini kuna tumaini Bwana atarudisha amani itarudishwa afya itarudishwa biashara itarudishwa furaha inarudishwa waliopakwa matope Bwana anasafisha walioshushwa chini Bwana anainua ata mti ukikatwa utachipuka tena waliopoteza maono yao jipe moyo Bwana anarudisha kwa jina la Yesu narudisha narudisha miaka yangu iliyoliwa na nzige narudisha kwa jina la Yesu miaka yangu iliyoliwa na nzige narudisha kwa jina la Yesu gloria muliro narudisha

Narudisha.mp3

Narudisha.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post