Nimeingia

Lyrics Of The Song Nimeingia

Song ID 3895

nimeingia bass kwako hapa mahali patakatifu unipokee unitakase nipate neema nimeingia kwako nimeingia hapa mahali patakatifu ee Bwana mwema wewe mfadhili sana nakuja kwako kukutukuza nakuabudu pia nakusujudu nisaidie mimi ni wako mimi mkristu pokea sala zangu ninakuomba nisaidie niharumie kwani mimi mnyonge nategemea msaada wako unipokee kwako unipokee unitakase nipate neema

Nimeingia.mp3

Nimeingia.video.mp4 YouTube

 

Hits: 16

Leave a Reply

Related Post