Ibada Lyrics ibada_lyrics Tazama Anakuja

Tazama Anakuja

Lyrics Of The Song Tazama Anakuja

Song ID 797

bass tazama anakuja mfalme all tazama anakuja mtawala x2 all Bwana mwenye nguvu tenor Bwana all Bwana mtawala ladies Bwana mwenya ufalme all ufalme mikononi mwake sop ten na kuweza na penzi all utukufu hata milele repeat tazama siku zinakuja asema Bwana nitakapolitimiza neno lile njema nililolinena katika siku zile nitamchipushia daudi chipukizi lahani naye atafanya hukumu na haki katika nchi hii jina lake ni atakaloitwa ni hili Bwana ni haki yetu naja kwako nipokee naja kwako nipokee ingawa mimi ni mnyonge x2 naja mbele yako ewe Bwana wangu huku nimejawa na dhambi Bwana siniache uniwie radhi mbele yako Bwana natubu shetani muuwa ameniingilia pembe zote Bwana nalia usiku silali Bwana ninahaNgaika Bwana wangu mwema nipokee nipe nguvu Bwana nishinde shetani nipate kuishi daima nikutumikie siku zangu zote nikinge kama theluji sadaka naleta ingawa sifai lakini e Bwana pokea mkate divai zote nazileta ewe Bwana wangu pokea moyo wangu Bwana unafadhaika hata usingizi sipati lakini ni wewe mwenye kunifinya ewe Bwana wangu nipokee

Tazama Anakuja.mp3

Tazama Anakuja.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post