Ninakupenda

Lyrics Of The Song Ninakupenda

Song ID 3556

ninakupenda ewe mwokozi wangu rafiki yangu mpenzi wa moyo wangu ukae nami daima ndani yangu nipate nguvu na heri siku zote ninakutolea mwili na roho yangu unipe neema zako nipate nguvu nikae nikupendeze mwokozi wangu shetani mwovu kamwe asinipate nilinde niwe imara na mwenye nguvu nisibumbukie tena katika dhambi unionyeshe yaliyo ya heri kweli nipate kuishi kwa kupendeza Bwana wewe uliye njia kweli uzima niongoze vema daima siku zote uniangazie mwanga palipo giza nifike kwa Mungu baba kwa njia yako nakukaribisha Bwana moyoni mwangu nijalie baraka zako ewe Bwana hata siku ya mwisho inapowadia nifike mbinguni kwenye heri milele

Ninakupenda.mp3

Ninakupenda.video.mp4 YouTube

 

Hits: 26

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post