Ibada Lyrics ibada_lyrics Highway – Yesu anatengeneza njia

Highway – Yesu anatengeneza njia

Lyrics Of The Song Highway – Yesu anatengeneza njia

Song ID 1169

highway highway wana wa israeli walifika mwisho wao mbele ni bahari ya shamu nyuma pharaoh na jeshi lake kando kuna milima mirefu hawezi vuka wakalitia jina la jehovah he came and way it was not just a way he made a higher way high way not just a way but the way high way not just a way but the way higher way not just away but the way walikufungia njia ndio usiende ngambo wakakuharibia eti usipate mchumba wakaenda kwa waganga eti usifanikiwe nina habari njema kwako leo Yesu anatengeneza njia it was not just a way he made a higher way high way not just a way but the way x2 higher way not just a way but the way umelia hujui ufanye nini umeomba hujui uende wapi marafiki wako nao ndio wamekuhepa nina habari njema kwako leo Yesu anatengeneza njia and it was not just a way he made a higher way high way not just a way but the way x2 higher way not just away but the way

Highway – Yesu anatengeneza njia.mp3

Highway – Yesu anatengeneza njia.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post