Ibada Lyrics ibada_lyrics Kwani ni Jambo lipi hilo – Liseme

Kwani ni Jambo lipi hilo – Liseme

Lyrics Of The Song Kwani ni Jambo lipi hilo – Liseme

Song ID 2080

hamna jambo yeye asiloliweza kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza liseme liseme litaje litaje kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza yeye ni baba wa yatima yeye ni mume wa wajane kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza yeye ni baba wa yatima yeye ni mume wa wajane kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza liseme liseme litaje litaje kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza yeye ni mponyaji yeye ni mkarimu mlinzi mfariji wa ajabu kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza yeye ni mponyaji yeye ni mkarimu mlinzi mfariji wa ajabu

Kwani ni Jambo lipi hilo – Liseme.mp3

Kwani ni Jambo lipi hilo – Liseme.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post