Ibada Lyrics ibada_lyrics Usiyeshindwa – mataifa yote yanakufahamu

Usiyeshindwa – mataifa yote yanakufahamu

Lyrics Of The Song Usiyeshindwa – mataifa yote yanakufahamu

Song ID 2480

mataifa yote yanakufahamu kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa usiyeshindwa usiyeshindwa wewe ni Mungu usiyeshindwa makabila yote yanakufahamu kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa na kanisa lako linakufahamu kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa all nations know you as the God who never fails

Usiyeshindwa – mataifa yote yanakufahamu.mp3

Usiyeshindwa – mataifa yote yanakufahamu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post