Ibada Lyrics ibada_lyrics Tabibu Lyrics

Tabibu Lyrics

Lyrics Of The Song Tabibu Lyrics

Song ID 1256

ni tabibu wa karibu tabibu wa ajabu na neema na daima ni dawa yake njema hatufai kuwa hai wala hatutumai ila yeye kweli ndiye atupumzishaye imbeni malaika sifa za Yesu Bwana pweke limetukuka jina lake Yesu

Tabibu Lyrics.mp3

Tabibu Lyrics.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post