Ibada Lyrics ibada_lyrics Ni tabibu wa Karibu – imbeni malaika sifa kwa Yesu Bwana

Ni tabibu wa Karibu – imbeni malaika sifa kwa Yesu Bwana

Lyrics Of The Song Ni tabibu wa Karibu – imbeni malaika sifa kwa Yesu Bwana

Song ID 730

ni tabibu wa karibu tabibu wa ajabu na rehema za daima ni dawa yake njema imbeni malaika sifa za Yesu Bwana pweke limetukuka jina lake Yesu hatufai kuwa hai wala hatutumai ila yeye kweli ndiye atupumzishaye dhambi pia na hatia ametuchukulia twenendeni na amani hata kwake mbinguni huliona tamu jina la Yesu kristo Bwana yuna sifa mwenye kufa asishindwe na kufa kila mume asimame sifa zake zivume wanawake na washike kusifu jina lake na vijana wote tena wampendao sana waje kwake wawe wake kwa utumishi wake

Ni tabibu wa Karibu – imbeni malaika sifa kwa Yesu Bwana.mp3

Ni tabibu wa Karibu – imbeni malaika sifa kwa Yesu Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 26

Leave a Reply

Related Post