Unatosha

Lyrics Of The Song Unatosha

Song ID 3940

nimeubeba msalaba wangu nikufuate wewe uliyenipenda nimeitua mizingo yangu kwako nakufwata wewe unayenipenda 2 Bwana unatosha wanitoshaa Mungu wa agano wewe wanitosha 2 nasalimu amri yako eeeh baba sauti yako nimeisikia umenivuta Bwana karibu na wewe karibu zaidi natamani niwe 2 moyo wangu usawa sioni ovu wanitosheleza wanitosha mwingine mie sina wewe wanitosha wanitoshaaa wanitoshaa eunice njeri unatosha God of promises you are sufficient for me

Unatosha.mp3

Unatosha.video.mp4 YouTube

 

Hits: 10

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post