Ibada Lyrics ibada_lyrics Nasema Asante

Nasema Asante

Lyrics Of The Song Nasema Asante

Song ID 180

nasema asante kwa Mungu wangu nasema asante kwa wema wako kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele amina nitaimba sifa zako mbele ya watu wote nitaimba sifa zako mbele ya watu wote kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele amina oooh nitaimba sifa zako mbele ya watu wote nitaimba sifa zako mbele ya watu wote kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele amina nasema asante kwa Mungu wangu nasema asante kwa wema wako kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele amina Mungu nasema asante baba nasema asanti kwa wema wako nakushukuru nakushukuru wewe umenitendea makubwa nainua jina lako natukuza jina lako unastahili baba unastahili kuinuliwa unastahili sifa na utukufu wewe ni wa ajabu umenilinda baba umeniponya umeni inua umenibariki haleluya jehova jire nakuinua nasema asanti baba asanti kwa wema wako nakushukuru wewe ni alpha na omega wewe ni mwanzo na ni mwisho hakuna mwingine baba haleluya nakupenda nakuinua nakutukuza

Nasema Asante.mp3

Nasema Asante.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Related Post