Ibada Lyrics ibada_lyrics Umenijenga Juu Ya Mwamba – Umenibeba Juu

Umenijenga Juu Ya Mwamba – Umenibeba Juu

Lyrics Of The Song Umenijenga Juu Ya Mwamba – Umenibeba Juu

Song ID 1274

umebeba juu halleluyah umenijenga juu ya mwamba Mungu umejaa wema na mapendo oh eeh nimeona uzuri wako ooh nani wa kufanana nawe Mungu wa israeli wa kupenda na kuchua ni wewe jehovah ah umenifanya mrithi wa kusudi wa wema wako kabisa namtumianie nani yeye eh ila ebenezer na bado unanikumbatia wakati wa mawimbi tena bado unanizingatia na kunipa tumaini nafsi yangu nakupatia nifinyange nitalinda moyo wangu huu uu ukufwate sifa na ibada nyimbo za utukufu yote kwako moyoni natoa sifa na ibada nyimbo za utukufu yote kwako moyoni natoa sifa na ibada nyimbo za utukufu yote kwako moyoni mwangu natoa

Umenijenga Juu Ya Mwamba – Umenibeba Juu.mp3

Umenijenga Juu Ya Mwamba – Umenibeba Juu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post