Ibada Lyrics ibada_lyrics NI WEWE lyrics by Janet Otieno

NI WEWE lyrics by Janet Otieno

Lyrics Of The Song NI WEWE lyrics by Janet Otieno

Song ID 206

kila kitu changu ni wewe ninaye mwimbia ni wewe maishani mwangu nimeamua ni wewe mi nimeshanganzwa na matendo yako baba ulivyonichukua na kunitunza kama wako sa mi ni wako kwangu kwako ukanipenda ukaniita mwana wako juu chini kushoto kulia sijamwona kama wewe sa mi ni wako kwangu kwako ukanipenda ukaniita mwana wako naomba uniweke kwako ndani niwe imara kama milima zayuni hauta anguka kukiwa na mawimba wala kutikiswa kukiwa na adui kila kitu ni wewe kila kitu changu ni wewe ninaye mwimbia ni wewe maishani mwangu nimeamua ni wewe mi nimeshangazwa na matendo yako baba ulivyonichukua na kunitunza kama wako sa mi ni wako kwangu kwako ukanipenda ukaniita mwana wako jua chini kushoto kulia sijamwona kama wewe sa mi ni wako kwangu kwako ukanipenda ukaniita mwana wako naomba uniweke kwako ndani niwe imara kama milima zayuni hauta anguka kukiwa na mawimbi wala kukiwa na adui kila kitu ni wewe

NI WEWE lyrics by Janet Otieno.mp3

NI WEWE lyrics by Janet Otieno.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post