Ibada Lyrics ibada_lyrics Kama Si Wewe

Kama Si Wewe

Lyrics Of The Song Kama Si Wewe

Song ID 660

pendo gani hili Bwana ukanipenda kabla nikujue wewe umenipenda mimi nani sasa bila wewe maishani kabla nikujue wewe ulinipenda na wakati nakukosea Bwana wee wanisamehe waniita mwana wako hata wakati ni dhaifu sistahili mbele zako naja kwa unyenyekevu kwani mimi bila wewe mimi si kitu si kitu ningekuwa wapi kama si wewe ningeitwa nani kama si wewe ningefanya nini kama si wewe kwani bila wewe mimi si kitu nikikumbuka jinsi ulivyo sina la kusema nilipotea kwenye dhambi ukaniokoa mimi ni nani mbele zako kama sio wewe ningekuwa wapi kama si wewe ulinipenda ukanionyesha njia ulinipenda ukaniokoa sina mwingine najitoa kwako Bwana uinuke ndani yangu mimi kwako mtumishi nitumie upendavyo najitoa kwako Bwana nitumie upendavyo mimi kwako mtumishi nakuomba nitumie nijaze nijaze nijaze na roho yako nifinyange nitumie najitoa mbele zako

Kama Si Wewe.mp3

Kama Si Wewe.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post