Ibada Lyrics ibada_lyrics Sauti Sikilizeni

Sauti Sikilizeni

Lyrics Of The Song Sauti Sikilizeni

Song ID 1917

sauti sikilizeni za waimbao juu aleluya aleluya aleluya mkuu wako makundi makundi kama nyota wangara kwa makuti ya mitende na meupe wamevaa wazazi na manabii wafanyaji wa njia mashahidi waandishi nao wafalme pia mabikira kina mama wajane wa kusali waimba wakikutana msifunu imanweli watu toka huzunini wameosha na nguo ni kwa damu yake Yesu maonjo mbali nao walitekwa walikatwa hata kwa misumeno kwao kifo na shetani walishindiwa mno Mungu mumo mwake Mungu nuru mumu mwa nuru kwa kufungamana mwako tutaishi mahuru tujalize imanweli kujaa kwako wewe Mungu baba Mungu mwana Mungu roho tunawe

Sauti Sikilizeni.mp3

Sauti Sikilizeni.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post