Ibada Lyrics ibada_lyrics Ni Ujumbe Wa Bwana

Ni Ujumbe Wa Bwana

Lyrics Of The Song Ni Ujumbe Wa Bwana

Song ID 3546

amenena mwenyewe aleluya utaishi ukitazama tazama ishi sasa kumtazama Yesu amenena mwenyewe aleluya utaishi ukitazama ni ujumbe wa wema aleluya nawe shika rafiki yangu ni habari ya raha aleluya mwenye kuinena ni Mungu uzima wa daima aleluya kwake Yesu utauona ukimtazama tu aleluya wokovu u pweke kwa Bwana

Ni Ujumbe Wa Bwana.mp3

Ni Ujumbe Wa Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post