Ibada Lyrics ibada_lyrics Mungu ni pendo

Mungu ni pendo

Lyrics Of The Song Mungu ni pendo

Song ID 889

Mungu ni pendo apenda watu Mungu ni pendo anipenda sikilizeni furaha yangu Mungu ni pendo anipenda nilipotea katika dhambi nikawa mtumwa wa shetani akaja Yesu kuniokoa yeye kanipa kuwa huru sikilizeni furaha yangu Mungu ni pendo anipenda sababu hii namtumikia namsifu yeye siku zote sikilizeni furaha yangu Mungu ni pendo anipenda

Mungu ni pendo.mp3

Mungu ni pendo.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post